Nerea

Nerea Lyrics

Song Nerea
Artist Sauti Sol
Artist Amos and Josh
Album Live and Die in Afrika
Download Image LRC TXT
[00:09.47] Nakuomba Nerea
[00:12.47] Usitoe mimba yangu, eeh
[00:14.93] Mungu akileta mtoto analeta sahani yake
[00:19.50] Mlete nitamlea
[00:22.53] Usitoe mimba yangu eeh
[00:24.90] Mungu akileta mtoto analeta sahani yake
[00:29.72] Huenda akawa Obama, atawale America
[00:34.33] Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda
[00:39.74] Huenda akawa Wanyama, acheze soccer Uingereza
[00:44.64] Huenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifa
[00:49.91] Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu
[00:55.36] Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake
[01:00.18] Mlete nitamlea usitoe mimba yangu, eeh
[01:05.86] Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake
[01:11.99] (Nitamlea)
[01:16.13]
[01:20.17] Huenda akawa Mathai, ailinde mazingira
[01:25.15] Huenda akawa Makeba, nyimbo nzuri akatunga
[01:30.48] Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania
[01:35.34] Huenda akawa Mandela, mkombozi wa Africa
[01:40.42] Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu eeh
[01:46.12] Mungu akileta mtoto analeta sahani yake
[01:50.48] Mlete nitamlea usitoe mimba yangu
[01:55.97] Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake
[02:02.01]
[02:20.85] Nakuomba Nerea (Nerea)
[02:24.16] Nerea (Nerea)
[02:26.76] Nerea (Nerea)
[02:28.84] Usitoe mimba yangu
[02:31.61] Nerea
[02:34.17] Nerea
[02:36.81] Nerea
[02:38.68] Usitoe mimba yangu
[02:41.13] Huenda akawa Kagame, atawale
[02:45.88] Jaramogi Odinga, tuungane
[02:51.31] Huenda akawa Tom Mboya
[02:53.54] Huenda akawa Rudisha
[02:56.12] Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia
[03:01.51] Huenda akawa Sauti Sol
[03:06.36] Huenda akawa Amos and Josh
[03:11.76] Huenda akawa ah-ah-ah
[03:16.25] Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia
[03:20.29]
Nerea Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)