[00:09.47] Nakuomba Nerea [00:12.47] Usitoe mimba yangu, eeh [00:14.93] Mungu akileta mtoto analeta sahani yake [00:19.50] Mlete nitamlea [00:22.53] Usitoe mimba yangu eeh [00:24.90] Mungu akileta mtoto analeta sahani yake [00:29.72] Huenda akawa Obama, atawale America [00:34.33] Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda [00:39.74] Huenda akawa Wanyama, acheze soccer Uingereza [00:44.64] Huenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifa [00:49.91] Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu [00:55.36] Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake [01:00.18] Mlete nitamlea usitoe mimba yangu, eeh [01:05.86] Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake [01:11.99] (Nitamlea) [01:16.13] [01:20.17] Huenda akawa Mathai, ailinde mazingira [01:25.15] Huenda akawa Makeba, nyimbo nzuri akatunga [01:30.48] Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania [01:35.34] Huenda akawa Mandela, mkombozi wa Africa [01:40.42] Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu eeh [01:46.12] Mungu akileta mtoto analeta sahani yake [01:50.48] Mlete nitamlea usitoe mimba yangu [01:55.97] Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake [02:02.01] [02:20.85] Nakuomba Nerea (Nerea) [02:24.16] Nerea (Nerea) [02:26.76] Nerea (Nerea) [02:28.84] Usitoe mimba yangu [02:31.61] Nerea [02:34.17] Nerea [02:36.81] Nerea [02:38.68] Usitoe mimba yangu [02:41.13] Huenda akawa Kagame, atawale [02:45.88] Jaramogi Odinga, tuungane [02:51.31] Huenda akawa Tom Mboya [02:53.54] Huenda akawa Rudisha [02:56.12] Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia [03:01.51] Huenda akawa Sauti Sol [03:06.36] Huenda akawa Amos and Josh [03:11.76] Huenda akawa ah-ah-ah [03:16.25] Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia [03:20.29]