Abibi

Abibi Lyrics

Song Abibi
Artist Innoss'B
Album Achour
Download Image LRC TXT
[00:14.79] Wakati nakuona, najipa moyo sana
[00:19.54] Pia nasema, ahsante kwa Mungu aliyekuumba
[00:24.51] Kila nyumba, bila we ni kama jangwa
[00:29.59] Nimejaribu kutembea kidogo
[00:31.86] Nimeona kuume na kushoto
[00:34.23] Umeyang'arisha miji zetu, kwa uzuri na urembo wako
[00:38.92] Nimejaribu kusafiri karibu na mbali
[00:43.54] Nimejaribu kusafiri karibu na mbali
[00:49.09] Umependeza miji za ulimwengu, weeh
[00:51.65] Ndiyo maana watu wanakupenda
[00:54.29] Abibi, Abibi
[00:59.24] Abibi, Abibi
[01:04.05] Abibi, Abibi
[01:09.09] Abibi, Abibi
[01:18.30] Umeonesha maana, unayo ndani ya maisha
[01:23.25] Naona watu wengi, wametabasamu kila wakati
[01:28.25] Unaposema (Sema)
[01:29.31] Unapoimba (Imba)
[01:30.53] Unapocheka Abibi
[01:33.06] Kupitia wewe, Mungu amejaza dunia na raha na akili
[01:38.05] Yote haya yananituma, kuimba jina lako nzuri
[01:43.25] Abibi, Abibi
[01:48.21] Abibi, Abibi
[01:52.97] Abibi, Abibi
[01:57.91] Abibi, Abibi
[02:03.30] Abibibi
[02:05.57] Abibibi
[02:07.98] Abibibi
[02:10.68] Abibibi
[02:12.93] Abibibi
[02:15.13] Abibibi
[02:17.48] Abibi, Abibi
[02:22.47] Abibi, Abibi
[02:27.45] Abibi, Abibi
[02:32.27] Abibi, Abibi
[02:42.12] Abibi, Abibi
[02:46.97] Abibi, Abibi
[02:52.19] Abibibi
[02:54.56] Abibibi
[02:57.05] Abibibi
[02:59.43] Abibibi (Abibibi)
[03:01.84] Abibibi (Abibibi)
[03:04.70]
Abibi Lyrics
YouTube Results (More on YouTube)