|
Binti amka acha huzunika |
|
Binti amka acha sikitika |
|
binti amka jikaze anza mwendo |
|
binti u mrembo na bado wang'ara |
|
Binti amka acha huzunika |
|
Binti amka acha sikitika |
|
binti amka jikaze anza mwendo |
|
binti u mrembo na bado wang'ara |
|
kama uko shule vitabu ni juhudi ongeza |
|
kama mwajiriwa hakikisha cheo umepanda |
|
kama biashara ongea vizuri na wateja kamwe usikubali mtu akukatishe tamaa |
|
Binti amka acha huzunika |
|
Binti amka acha sikitika |
|
binti amka jikaze anza mwendo |
|
binti u mrembo na bado wang'ara(sana aaa) |
|
unadiliki kusema huwezi ishi bila yeye miaka iliyopita hukumjua ni nani yeyeee |
|
mbona uliishi na umekuwa mkubwa sasa |
|
iweje akuzuge ili maisha yakuchanganye |
|
(ohhh ohh eeee eee) |
|
Binti amka acha huzunika |
|
Binti amka acha sikitika |
|
binti amka jikaze anza mwendo |
|
binti u mrembo na bado wang'ara |
|
binti imara siku zote ni shujaa |
|
kila utendalo maishani utafanikiwa |
|
achana majungu usisikie wasemayo |
|
piga moyo konde mwisho wa safari utafika |
|
(maisha hayataki papala tulia uone nini cha kufanya na nini cha kuacha) |
|
Binti amka acha huzunika |
|
Binti amka acha sikitika |
|
binti amka jikaze anza mwendo |
|
binti u mrembo na bado wang'ara |
|
Binti amka acha huzunika |
|
Binti amka acha sikitika |
|
binti amka jikaze anza mwendo |
|
binti u mrembo na bado wang'ara |
|
wow wow ohhh |
|
Binti amka acha huzunika |
|
Binti amka acha sikitika |
|
binti amka jikaze anza mwendo |
|
binti u mrembo na bado wang'ara |
|
Binti amka acha huzunika |
|
Binti amka acha sikitika |
|
binti amka jikaze anza mwendo |
|
binti u mrembo na bado wang'ara |
|
Binti amka acha huzunika |
|
Binti amka acha sikitika |
|
binti amka jikaze anza mwendo |
|
binti u mrembo na bado wang'ara |
|
end... |