Malaika nakupenda Malaika Malaika nakupenda Malaika Nami nifanyeje kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Kidege hukuwaza kidege Kidege hukuwaza kidege Nami nifanyeje kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Pesa zasumbua roho yangu Pesa zasumbua roho yangu Nami nifanyeje kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Malaika nakupenda Malaika