[ti:] [ar:] [al:] [00:21.55]Malaika nakupenda Malaika [00:29.87]Malaika nakupenda Malaika [00:37.18]Nami nifanyeje kijana mwenzio [00:45.56]Nashindwa na mali sina we [00:49.58]Ningekuoa Malaika [00:54.05]Nashindwa na mali sina we [00:57.75]Ningekuoa Malaika [01:12.04]Kidege hukuwaza kidege [01:20.52]Kidege hukuwaza kidege [01:27.67]Nami nifanyeje kijana mwenzio [01:36.16]Nashindwa na mali sina we [01:40.33]Ningekuoa Malaika [01:44.45]Nashindwa na mali sina we [01:48.81]Ningekuoa Malaika [02:34.29]Pesa zasumbua roho yangu [02:42.77]Pesa zasumbua roho yangu [02:49.79]Nami nifanyeje kijana mwenzio [02:57.98]Nashindwa na mali sina we [03:02.09]Ningekuoa Malaika [03:06.66]Nashindwa na mali sina we [03:10.62]Ningekuoa Malaika [03:16.27]Malaika nakupenda Malaika