|
Usibishane na babu wewe |
|
Tunasondeka(Utamu wa mnazi) |
|
Tunasondeka(Rixx) |
|
Tunasondeka(Matatizo) |
|
Tunasondeka(Ah Naiboi) |
|
Tunasondeka(ooh Lord) |
|
Tunasondeka(Tunarekebisha) |
|
Tabia ya kuagiza pombe na si wewe unalipa(Tunasondeka) |
|
Umekuja date na mabeste zako nasijawaalika(Uuh yeah) |
|
Njaro za kuingia chumbani mwangu na mlango hujabisha |
|
(Tunasondeka) |
|
Unang'ara ndula zangu unaziposti kwa Insta(Uuh yeah) |
|
Umenivalia wiggy tamu |
|
Kumbe ndani ni matuta(Tunasondeka) |
|
Ah kumbe pia haga feki tulidhani una figa |
|
Oh yeah yeah |
|
Si watu wana tabia mbaya |
|
Si muko na matabia mbaya |
|
Si watu wana tabia mbaya |
|
Si muko na matabia mbaya |
|
Tunasondeka iyee |
|
Tunasondeka |
|
Ikileta shida |
|
Tunasondeka ooh Lord |
|
Tunasondeka (Tunarekebisha) |
|
Tunasondeka iyee |
|
Tunasondeka |
|
Ikileta noma |
|
Tunasondeka ooh Lord |
|
Tunasondeka (Tunarekebisha) |
|
Amelala mpaka saa tisa ni kama kwangu ni kwao |
|
(Ety what!) |
|
Na ng'ombe saba na mbuzi sita sijapeleka kwao |
|
Si uliambiwa shimoni moto, mbona sasa unawika? |
|
(Unachomeka!) |
|
Tukaambiwa ni shoti moja wee ukichocha ni sita |
|
Ambia huyo politician next time akituona |
|
(Kitaeleweka!) |
|
Tangu tukuseti MCA mtaani uko MIA |
|
Si watu wana tabia mbaya |
|
Si muko na matabia mbaya |
|
Si watu wana tabia mbaya |
|
Si muko na matabia mbaya |
|
Tunasondeka |
|
Tunasondeka |
|
Maisha ya vipindi(Tunasondeka aha) |
|
Tunasondeka |
|
Takataka lovish(Tunasondeka yeah) |
|
Tunasondeka |
|
Ati sambaze nieke beti (Tunasondeka aha) |
|
Tunasondeka |
|
Break it down down down |
|
Waambie nimekam Naiboi nimekam eeh |
|
Mbogi ya Kenya imekam |
|
Waambie tumekam na ubaya tumekam eeh |
|
Mbogi ya Kenya imekam |
|
Waambie nimekam Naiboi nimekam eeh |
|
Mbogi ya Kenya imekam |
|
Waambie tumekam Naiboi nimekam eeh |
|
Wanaofanya wengi wanaojua wachache Tunawalainisha! |