Pusha

Song Pusha
Artist Aslay
Album Pusha

Lyrics

[00:13.01] Pusha washa
[00:14.64] Mi nina stress zimejaa kwenye kichwa
[00:19.20] Sogeza kiti kaa
[00:21.03] Nikueleze machache yaliyonikuta
[00:26.14] Kuna kijanaa ana nisumbua sanaaaa
[00:29.54] Mke wangu raha hana
[00:32.24] Nyumbani amani hakuna
[00:35.21] Hi hiiii
[00:37.06] Asidhani mimi ni mkimya sana
[00:40.09] Mwenzie naumia roho yangu
[00:42.97] Nisije baadae mi kupata lawama
[00:45.89] Nikaharibu CV yangu
[00:49.07] Mwambieni ama zake ama zangu
[00:52.85] Mi ntakufa naye
[00:54.78] Nasema mwambie
[00:56.34] Ama zake ama zangu
[00:58.73] Mi nitakufa naye
[01:00.83] Mkimuona mwambieni
[01:02.49] Ama zake ama zangu
[01:04.67] Nitakufa naye
[01:07.04] Eeeh Mwambieni
[01:08.36] Ama zake ama zangu
[01:10.76] Nitakufa naye
[01:12.65] Anapitaga kibarazani
[01:15.01] Nguo kashusha makalioni
[01:18.27] Anajifanya yeye muhuni
[01:21.11] Wenzie tulianza tisini
[01:23.38] Tutabadilishana majengo ya serikali
[01:27.93] Aaahh ahhh
[01:29.29] Mi niende jela, yeye aende mochwali
[01:33.52] Ahhhh ahhah
[01:34.94] Hi hiii
[01:37.13] Asidhani mimi ni mkimya sana
[01:40.02] Mwenzie naumia roho yangu
[01:43.26] Nisije baadae mi kupata lawama
[01:46.27] Nikaharibu CV yangu
[01:49.46] Mwambieni
[01:50.41] Ama zake ama zangu
[01:52.67] Mimi nitakufa naye
[01:54.43] Nasema mwambieni
[01:56.99] Ama zake ama zangu
[01:58.83] Mimi nitakufa naye
[02:00.42] Mkimwona mwambieni
[02:02.38] Ama zake ama zangu
[02:05.09] Mimi nitakufa naye
[02:06.61] Ehh mwambieni
[02:08.22] Ama zake ama zangu
[02:11.13] Mimi nitakufa naye
[02:14.33] Aiyo, aiyo, aiyoyo
[02:18.60] Huwaga sipendagi dharau
[02:20.29] Aiyo, aiyo, aiyoyo
[02:23.97] Mwambie anajisahau
[02:26.16] Aiyo, aiyo, aiyoyo
[02:29.85] Tutachukiana mamaa
[02:32.52] Aiyo, aiyo, aiyoyo
[02:36.37] Tutapeana lawana sana ooho
[02:57.11]