作词 : Jux 作曲 : S2kizzy Intro: S2Kizzy Baby Verse: Kwenye love niko fo fo fo Umenidatisha wewe m to to Napiga mbizi maji ya u go ko Baridi unanipa jo to Oh baby don’t let me go, Don’t let me go Aiiih Najua dhamani yako Just let me know, Aiiih just let me know Mimi sitaki ubaki peke yako mama Pre-Chorus: Aaah aah aah… Sitaki wewe kuumia Aaah aah aah… Ado ado mama ado ado Aaah aah aah… Sitaki wewe kuumia Aaah aah aah… Eeeh Chorus: Kasura kako kanaumiza roho Mama, mama, mama I’ve never seen before Mama, mama, mama Kasura kako kanaumiza roho Mama, mama, mama I’ve never seen before Mama, mama, mama Bridge: Iko kibindoni white, kibindoni Iko kibindoni white, kibindoni Iko kibindoni white, kibindoni Iko kibindoni white, kibindoni Aahh Verse: Yani kama taa mama wewe umenizimaga (iya nah) Watu wanashangaa kitu gani mi nakupaga (mwuaa) Mizigo yote nimeshaitua Nimefika mwisho wa reli Kigoma Uzuri wako wote wanajua Mtoto umenyooka kinoma Pre-Chorus: Aaah aah aah… Awabishi awakataiiii Aaah aah aah… Ah yani mi nyang’anyang’a Aaah aah aah… Sijiwezi mama sijiweziiii Aaah aah aah… Eeeh Chorus: Kasura kako kanaumiza roho Mama, mama, mama (Eeey yeeh) aah I’ve never seen before (I’ve never seen before) Mama, mama, mama (aaah) Kasura kako kanaumiza roho ( kanaumiza roho) Mama, mama, mama (aah aah aah) aah I’ve never seen before (I’ve never seen before) Mama, mama, mama Bridge: Iko kibindoni white, kibindoni Iko kibindoni white, kibindoni Iko kibindoni white, kibindoni (Eeeh) Iko kibindoni white, kibindoni Aahh Outro: Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni (Eeeh) Iko kibindoni waite, kibindoni