[00:04.05] Ah, aahh, ayayaya [00:08.34] Mpaka raha [00:10.11] Unavyoonesha maajab [00:12.05] Unanipa mapenzi huchaguisana, mtoto nikab [00:15.40] Madhara ukivifuata vibabu [00:18.18] Ukatae tembele uchague nyama unieke roho juu [00:25.66] Hatari sana [00:28.28] Mtoto kulbaiya [00:31.24] Unavyonipa umoto [00:33.89] Hatari ukinibania [00:35.32] Unainjoi sana michezo ya kukutania [00:39.76] Na chai tule ukoko [00:43.46] Usiku wali bamia [00:44.71] Mapenzi yetu mi na wewe [00:46.85] Raha tele,(ayaya) [00:48.25] Raha tele, (ayayaya) [00:50.23] Raha tele, (ayaya) [00:52.48] Raha tele [00:54.74] Mapenzi yetu mi na wewe [00:57.09] Raha tele, na kisura [00:58.72] Raha tele, (ayaya) [01:00.54] Raha tele, (oh ooh) [01:02.78] Raha tele [01:04.45] Mapenzi yetu mi na wewe [01:05.53] (Ouuh) [01:08.63] Nijuze, [01:27.08] Nijuze kipi kinafanya unalia, (ooh) [01:28.05] Nieleze mama [01:29.05] Nieleze maana nshaanza kuchanganyikiwa [01:31.07] (Aah) [01:32.52] Ruksa kunifanya chambo [01:34.11] Wakikuzingua nikapambane [01:36.61] Nikulinde kama mgambo [01:38.94] Ili mashorobalo wasikuone [01:40.76] Koleza mama [01:44.32] Koleza nazi kwa mchele [01:46.72] Isambaga tuwaachie wenyewe [01:51.33] Koleza darlin [01:54.81] Koleza nazi kwa mchele [01:57.27] Isambaga tuwaachie wenyewe [01:59.52] Raha tele,(ayaya) [02:01.93] Raha tele, (ayayaya) [02:03.53] Raha tele, (ayaya) [02:06.38] Raha tele [02:08.15] Mapenzi yetu mi na wewe [02:11.19] Raha tele, na kisura [02:13.45] Raha tele, (ayaya) [02:15.59] Raha tele, (oh ooh) [02:18.77] Raha tele [02:20.98] Mapenzi yetu mi na wewe [02:23.19] Raha tele [02:25.60] Nasikia raha, raha tele [02:28.13] Nasikia furaha, raha tele [02:29.07] Kuwa na wewe, raha tele [02:29.76] Naona raha, raha tele [02:31.36] Oh babe mama, raha tele [02:32.42] Nakupenda sana, raha tele [02:33.44] Raha tele, raha tele [02:35.93] Raha telee [02:39.07]