[00:21.76] Nikiwa mbali na uwepo wa macho yako [00:24.47] Mimi mgonjwa siwezi pona [00:27.45] Nitatulia nikikuona aah... aaah [00:32.66] Niwapo ubavuni mwako [00:34.20] Nadeka kama mtoto akiwa kwa mama [00:37.97] Nimetulia nikikuona aaah... aaah [00:42.23] Tabia umenibadilisha [00:45.00] Pozi zote kwisha [00:47.37] Ujeuri ndio kabisa [00:49.45] Nimechange... ii [00:52.42] Nahofia ukija nichoresha [00:55.30] Machozi sipati picha [00:57.75] Safari ukaikatisha [01:00.41] Huku sijiwezi [01:02.17] Najiona hodari [01:03.21] Juu ya penzi lako [01:05.26] Sina habari [01:06.79] Juu ya penzi lako [01:07.40] Nimeonja asali [01:09.07] Juu ya penzi lako [01:10.01] Najiona mbali [01:12.43] Najiona hodari [01:14.32] Juu ya penzi lako [01:15.71] Sina habari [01:17.08] Juu ya penzi lako [01:17.90] Nimeonja asali [01:19.15] Juu ya penzi lako [01:20.65] Najiona mbali [01:21.85] Mtamu kama mua, mua, mua, mua [01:27.55] Game lako murua, murua, murua, murua [01:32.98] Mtamu kama mua, mua, mua, mua [01:37.92] Game lako murua, murua, murua, murua [01:54.92] Unavyonikanda na kunitua [01:58.23] We nigangue nikiugua [02:00.98] Unanifanya najishebedua [02:03.33] Ayee. [02:05.90] Puliza marashi wapi mafua [02:08.62] Wanaopenda kudadavua [02:11.24] Sie tunapika na kupakua [02:13.78] Ayee.ayee [02:15.97] Hatuna kelele [02:18.36] Tunaendana, endana [02:20.99] Mpaka milele eeh [02:23.73] Tutazikana [02:25.37] Najiona hodari [02:27.56] Juu ya penzi lako [02:28.85] Sina habari [02:30.13] Juu ya penzi lako [02:30.96] Nimeonja asali [02:32.64] Juu ya penzi lako [02:33.50] Najiona mbali [02:35.86] Mtamu kama mua, mua, mua, mua [02:40.87] Game lako murua, murua, murua, murua [02:45.51] Mtamu kama mua, mua, mua, mua [02:45.88] Game lako murua, murua, murua, murua [02:46.35] Kama mua, mua, mua, mua [02:51.21] Game lako murua, murua, murua, murua [02:57.23]