作词 : Juma "Jux" Mkambala 作曲 : Juma "Jux" Mkambala/Bob Manecky 2. Zaidi Its bob manecky Intro: Nana nana naaana Nana nana naaana Nana nana naaana Nana nanaaa Verse: Zinanitoka goose bums, Nikisikia jina lako Mi ninaweukaa Kabisa mi ni chizi wako Na kama ni mganga eeeh Mzuri huyo mganga wako Sio kwa kunipumbaza huku Baby, Mmhh Mamy ongeza ubuyu Nizidi kuumung’unya eeeh Tena na sukari guru Utamu nikitafuna eeeh Baby ongeza ubuyu Nizidi kuumung’unya eeeh Tena na sukari guru utamu nikitafuna eeeh (mhmh) Pre-Chorus: Kama ni pili pili maa (na na na na) Acha ukali niusikie (na na na na) Kama nivita mamaa (na na na na) Acha adui wanivamie (na na na na) Kama we ni asali maa (na na na na) Acha na nyuki wanivamie (na na na na) Lakini penzi lako baby (na na na na) Ata kidogo lisipungue (na na na na) No no nooooo Chorus: Zaidi zaidi zaidi zaidi (mhmhh) Nipe nipe Zaidi zaidi Zaidiii (mhmhh) Wewe zaidi zaidiii zaidiii Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii) Bridge: Haya yaya yaaah yaaah... Haya yaya haya yaya yaaaah... Verse: Nanyosha mikoni juu Kwako mi nimesurrender Naona maajabu Sungura kazidiwa ujanja Nimekuwa zuzu zuzu zuuu Nimekuwa bubu bubu buuu Nimekuwa mbumbu mbuu baby eh Nimekuwa zaidi ya nyumbu Sioni sisikiii... (aaah) Sioni sisikii ... Baeby Pre-Chorus: Kama ni pili pili maa (na na na na) Acha ukali niusikie (na na na na) Kama nivita mamaa (na na na na) Acha adui wanivamie (na na na na) Kama we ni asali maa (na na na na) Acha na nyuki wanivamie (na na na na) Lakini penzi lako baby (na na na na) Ata kidogo lisipungue (na na na na) No nooooo oooooh Chorus: Zaidi zaidi zaidi zaidi (yeyeeeee) Nipe nipe Zaidi zaidi Zaidiii (mhmhh) Wewe zaidi zaidiii zaidiii Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii) Outro: Mamy ongeza ubuyu Nizidi kuumumunya eee Tena na sukari guru Utamu nikitafuna eee Baby ongeza ubuyu Nizidi kuumumunya eeee Tena na sukari guru Utamu nikitafuna eeee Mhmhmh...